utapeli mtandaoni umekuwa ukiathiri watu wengi. ikiwa umepoteza pesa au mali kutokana na utapeli mtandaoni, ni hatua zipi unazoweza kuchukua kisheria au kwa msaada wa mamlaka husika?
Sosho Latest Questions
mikopo ya haraka ya mtandaoni imekuwa maarufu, lakini inakuaje ikiwa mtu anakopa na kushindwa kulipa? sheria inasemaje kuhusu deni hilo na hatua gani zinazoweza kuchukuliwa dhidi yake?
Ikiwa mtu amechapisha picha yako kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako, ni hatua gani za kisheria na za kiusalama unaweza kuchukua ili kulinda haki zako na faragha yako?