Ikiwa mtu amechapisha picha yako kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako, ni hatua gani za kisheria na za kiusalama unaweza kuchukua ili kulinda haki zako na faragha yako?
Sosho Latest Questions
anonymous
Asked: In: Teknolojia
utapeli mtandaoni umekuwa ukiathiri watu wengi. ikiwa umepoteza pesa au mali kutokana na utapeli mtandaoni, ni hatua zipi unazoweza kuchukua kisheria au kwa msaada wa mamlaka husika?
anonymous
Asked: In: Elimu ya kidigitali
kuna mjadala kuhusu umri sahihi wa watoto kuanza kutumia mitandao ya kijamii. unadhani umri gani ni sahihi na ni hatua zipi za usalama wazazi wanapaswa kuchukua?
mikopo ya haraka ya mtandaoni imekuwa maarufu, lakini inakuaje ikiwa mtu anakopa na kushindwa kulipa? sheria inasemaje kuhusu deni hilo na hatua gani zinazoweza kuchukuliwa dhidi yake?